Logo

Filamu za Kutufungulia wiki hapa MMBongo!

News
19 October 2015
Filamu za kutufungulia wiki hapa MMBongo!
fitina.jpg

Fitina
Jumatatu
Saa 16:00 - 17:00 EAT
Katika panda shuka za kutafuta riziki au ridhaa maishani, hapakosi FITINA!


Mwalimu Nyerere
Jumatatu
Saa 18:30 - !9:45


Tanzania na Africa kwa jumla wanamkumbuka baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa falsafa zake na vitendo vyake vya kuwaunganisha watu wa Tanzania.Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.