Logo

Filamu za Jumatatu hapa MMBongo!

News
05 October 2015
Filamu za Jumatatu hapa MMBongo!
Aunt-Ezekiel

Filamu za Jumatatu hapa MMBongo!Accident on the Hill
5 Oktoba 2015
15:00 EAT


34 vlcsnap 2015 10 05 15h21m07s181

Sonam ni binti anaye tia bidii kwa kazi zake na maisha yake kwa jumla. Anapenda kuwatumikia wakunga. Kwa ajili ya uaminifu wake, anapata fursa ya kuajiriwa kazi ngambo. Marafiki wake wanasherehekea lakini, ajali haikingiki na huo ndiyo mwisho wa furaha yake.


Siri Sirini
5 Oktoba 2015
21:00 EAT


34 vlcsnap 2015 10 05 15h06m44s824


Ayanda anakutana na mchumba wa zamani lakini anamdanganya Mumewe eti huyo Lome ni binamu yake!Lome anashawishi Lucky aende Mjini akatafute kazi kumbe anamadhumuni ya kumrusha Lucky Mke!


Ungana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.