Logo

Filamu za Bongo hapa Maisha Magic East!

News
26 April 2016
Bongo Movies on maisha Magic East every TUESDAY evening from 21:00 EAT! Wholesome East African Entertainment!
maisha_mapito

MAPITO
JUMANNE
SAA 21:00

34 maisha mapito


Ni kipindi kigumu sana kwa mwanadamu katika mapito haya ya dunia, tunasahau kumcha mungu na kuingia katika vitendo ambavyo mwisho wake huwa majuto. Ni vitendo ganio tunafanya ambayo si vizuri katika kipindi hiki cha mapito? Usikose kutazama kisa hiki hapa MMEast!

 

SHOESHINE
JUMANNE
SAA 23:15


Mji ni Dar es Salaam. Kijana anayefanya kazi ya kupiga viatu rangi anatusimulia hadithi za watu anaowahudumia akitazama mwenendo wa maisha huko mjini. Anawajua wajumbe wa Serikali na wanafunzi wa chuo kikuu. Marafiki wake, kama mama anayeuza Chai na mandazi katika kijihoteli hapo karibu na stesheni yake.

34 shoe shine high res


Ni hadithi inayotuonyesha fikira za mtoto anayehimizwa kufanya kazi ili apate riziki! Ungana nasi, saa 18:40 EAT hapa MMBongo! Ni Yetu!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.