Logo

Filamu ya Leo, SHOESHINE.

News
19 January 2016
Hadithi inayotuonyesha fikira za mtoto anayehimizwa kufanya kazi ili apate riziki! Ungana nasi, leo Saa 18:05 EAT hapa MMBongo! Ni yetu!
SHOE SHINE HIGH RES

Mji ni Dar es Salaam. Kijana anayefanya kazi ya kupiga viatu rangi anatusimulia hadithi za watu anaowahudumia akitazama mwenendo wa maisha huko mjini. Anawajua wajumbe wa Serikali na wanafunzi wa chuo kikuu. Marafiki wake, kama mama anayeuza Chai na mandazi katika kijihoteli hapo karibu na stesheni yake.

Ni hadithi inayotuonyesha fikira za mtoto anayehimizwa kufanya kazi ili apate riziki! Ungana nasi, saa 18:40 EAT hapa MMBongo! Ni Yetu!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.