Logo

Filamu ya Ijumaa, TABU KIBOKO!

News
08 April 2016
Filamu ya vichekesho, masaibu na Drama! Hapa MMBongo!
TabuKiboko8April

TABU KIBOKO
8 APRILI 2016

Unapoolewa ni vyema ukatunza ndoa yako. Sio unapokaribia kuolewa, Ukavunja ahadi ya ndoa yakokwa kwenda kutembea na bwana wako wa zamani. Filamu ya vichekesho, masaibu na Drama! Hapa MMBongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.