Logo

Filamu ya Bongo Wamwisho Wewe!

News
05 November 2015
Tazama hii filamu ya kusisimua Filamu ya Bongo Wamwisho Wewe! Hapa Maisha Magic Bongo leo Alhamisi, saa 18:35 jioni!
vlcsnap-2015-10-01-12h23m05s884

Mtoro na marafiki wake wanpanga njama ya kuwaua Bi na Bwana Tale. Walipotimiza mipango yao, lengo lao lilikuwa kuzichukua kampuni zao za Biashara.
Lakini, binti wa Bwana na Bi Tale, Mboni, anarudi kutoka ngambo alikokuwa masomoni. Mtoro wanamchochea kwa polisi na Mboni anatiwa Mbaroni! Kwa usaidizi wake Ben aliyekuwa dereva wa babake, Mboni anatolewa korokoroni na sasa, anapanga kulipisha Kisasi!

Tazama hii filamu ya kusisimua Filamu ya Bongo Wamwisho Wewe! Hapa Maisha Magic Bongo leo Alhamisi, saa 18:35 jioni!

 

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.