Logo

Fedheha, leo jioni hapa MMBongo!

News
12 November 2015
Baada ya kifo cha Mamake mzazi, June anaishi na baba yake,mama wa kambo na binti wao.
vlcsnap-2015-10-01-11h49m31s189

Baada ya kifo cha Mamake mzazi, June anaishi na baba yake,mama wa kambo na binti wao.
Mwana wa Tajiri anayitwa Alex anamwona June shambani akalogwa na penzi lakini mama wa kambo anataka bintiye aolewe na Alex. Ungana nasi saa kumi na mbili alasiri katika Chaneli ya DStv 160!

34 vlcsnap 2015 10 01 11h49m31s189Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.