Logo

DIAMOND. Bongomuvi ndani ya Chaneli 160!

News
20 April 2016
Mayana atapata kutekeleza matakwa ya Babake? Filamu ni DIAMOND, Alhamisi, saa 19:00 EAT ndani ya DStv chaneli 160!
DIAMOND20April

DIAMOND
ALHAMISI
SAA 19:00 EAT


 

Babake Mayana anamwamini rafiki yake Mzee Mayana na ujumbe wake kwa mtoto wake, Mayana. Anampa Mzee Majuto mfuko na nyumba yake, ampelekee Mayana lakini anamwonya asifungue mfuko na kutazama yaliyomo!
Kabla ya kukata safar, Baba Mayana anafariki ndani ya nyumba yake. Mzee Majuto anamtuma mtu mwingine kumpelekea Mayana Mfuko wake. Huyu mtu, anafungua mfuko wa siri! Lo! Barua za kisasi na majina ya watu waliopangiwa njama ya kifo kwa ajili ya biashara ya Almasi! Mayana atapata kutekeleza matakwa ya Babake? Filamu ni DIAMOND, Alhamisi, saa 19:00 EAT ndani ya DStv chaneli 160!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.