Logo

Champion

News
20 November 2015
Baada ya Kifo cha familia yake, Naseer anamtafuta mwanabiashara mashuhuri aliyesababisha vifo vyao
I Love New Year Bollywood Movie HD Wallpapers

34 champion


 

Baada ya Kifo cha familia yake, Naseer anamtafuta mwanabiashara mashuhuri aliyesababisha vifo vyao. Naseer anafaulu kumuangamiza Mwanabiashara huyu lakini mtoto wao mdogo wa kiume ananusurika. Baada ya kumuepa Naseer, Abbas mtoto huyu anapewa Witness protection. Naseer anamtafuta.