Logo

Bongo Muvi: Sweet and Sour

News
24 November 2015
Ungana nasi leo saa Sita unusu katika makala ya Sweet and Sour!
sweetandsour4

SWEET AND SOUR
SAA SITA NA NUSU


34 sweetandsour3


Bwana Benson ni Mzee aliye na watoto watatu. Bibi yake alifariki muda uliopita. Bi Fernandes pia ni Mjane aliye na watoto watatu pia. Ndugu yake Bi Fernanadez anawapatanisha, wanapendana na kufunga ndoa. Walakini, watoto hawa hawasikizani na kuna ugmovi katika nyumba yao. Je watapata kuelewana?

Ungana nasi leo saa Sita unusu katika makala ya Sweet and Sour!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.