Logo

Aalaap! Hapa MMBongo!

News
15 April 2016
Fuatilia kisa hiki hapa Maisha magic Bongo, Chaneli 160, saa 16:00 EAT!
Aalaap image 1.JPG

AALAAP
IJUMAA
SAA 16:00 EAT


34 aalaap image 1.jpg

Wasanii wanne wanaungana kuwashawishi vijana wenzao kukomesha vurugu na uhalifu kwa kupitia muziki wao. Katika shughuli zao, wanapatana na ghasia zinazotishia kuwangamiza! Fuatilia kisa hiki hapa Maisha magic Bongo, Chaneli 160, saa 16:00 EAT!