Logo

Filamu za Bongo hapa MMEast!

News
09 March 2016
Tumesikia kilio cha watazamaji wetu na kujaribu tuwezavyo kuwaletea filamu na vipindi muvipendavyo! Saa 21:00 EAT! MMEast!
kutakapokucha2RES

KUTAKAPOKUCHA
JUMATANO
SAA 21:00 EAT


Tumesikia kilio cha watazamaji wetu na kujaribu tuwezavyo kuwaletea filamu na vipindi muvipendavyo! Tuko katika harakati za kuwaletea Maudhui Mapya kutoka Afrika Mashariki kote! Subira huvuta heri wenzangu! Tuungane, Maisha Magic East ni YETU!


34 kutakapokucha2res


Kijiji kinasambaratika wakimchagua kiongozi asiyefaa! Nongwa ni Mkurugenzi wao, lakini, anatumia cheo chake kuwanyanyasa wananchi! Asiyejua faida ya mwangaza, aingie kwenye giza! Ungna nasi, saa 21:00 EAT hapa Maisha Magic East! NI Yetu!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.