Logo

Nguvu ya Imani

News
06 March 2016
Tazama hadithi ya Imani na uvumilivu leo saa 19:30 hapa MMBongo!
Nguvu ya Imani.jpg

NGUVU YA IMANI
JUMAPILI
SAA 19:30 EAT.

laeri ni binti yatima, anaye mcha Mungu.shangzi wake anfanya uchawi kumpendeza mtoto wake kwa Mume wake Laeri. Anaamini ni nguvu za Mwenyezi Mungu pekee zitamwokoa na kumbadilisha mume wake. Tazama hadithi ya Imani na uvumilivu leo saa 19:30 hapa MMBongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.