Logo

Filamu za mwisho wa wiki! MMBongo!

News
04 March 2016
Jiunge nasi leo kupata filamu moto moto hapa MMBongo kutoka saa 17:00 EAT!
Aalaap image 1.JPG

TAMAA
IJUMAA
SAA 17:00 EAT


34 tamaa.res


Juliet anaishi maisha hatari na kutumia vibaya utajiri wa ndugu yake. Mwishowe, anapanga njama na kumsaliti ndugu yake fedha hizo, jambo linaloweka maisha yao katika hatari.AALAAP
IJUMAA
SAA 19:30 EAT


34 aalaap image 1.jpg


Rahul na marafiki wake ni wana Muziki. Maisha yao yanaendelea bila tashwishi na wanapata umaarufu! Baada ya muda, hatma inawapiga marufuku na kwa bahati mbaya Rahul na marafiki wanahutumiwa kuwa wagaidi! Ungana nasi jioni ya leo kupata kisa hiki hapa MMBongo!