Logo

Bikira Kidawa, Alhamisi, hapa MMBongo!

News
02 March 2016
Dilunga ni Mpenda-Tembo. Mlevi chakari. Mke wake anampata mpenzi mwingine, Kombo.Tazama mapambano ya familia kesho, saa 17:00 EAT
Bikira Kidawa2.jpg

BIKIRA KIDAWA
ALHAMISI
SAA 17:00 MPAKA SAA 19:00


34 bikira kidawa2.jpg

Dilunga ni Mpenda-Tembo. Mlevi chakari. Mke wake anachoshwa na tabia zake, kisha anampata mpenzi mwingine, Kombo.
Dilunga akamtoa kwa boma na kuwachwa na binti wake wawili, Siwema na Kidawa. Watoto hawa wakateseka kwa Baba yao kisha Siwema akatoroka mjini kutafuta riziki yake. Kidawa akawachwa nyumbani kuwatunza baba na Nyanya yao. Punde si punde, Diluinga akamposa Kidawa kuolewa ili apate mahari. Tazama mapambano katika maisha ya hawa wanawake watatu leo saa 17:00 EAT.


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.