Logo

Jikoni na Marion hapa MMBongo!

News
26 February 2016
Shilole 2

JIKONI NA MARION
KILA ALHAMISI
SAA 12:00 na kesho 04:00 EAT


34 shilole 2


Kama ulikosa kutazama kipndi cha jana cha Jikoni na Marion, usikufe moyo!

Pata mamarudio kwa ufupi hapa MMBongo saa 12:00 EAT na tarahe 27 February saa 04:00 EAT. Jana, Wageni wetu Rasmi walikuwa Bi Joyce Kiria na Shilole! Joyce anatufunza kutayarisha Kuku wa kukaanga, 'Southern Style' na Shilole anatupeleka Magharibi! anatufunza kupika Bukoba Plantain na Mboga za mchicha!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.