Logo

Filamu ya MMBongo! DEREVA TAXI!

News
27 February 2016
Ungana nasi Jumamosi saa 18:05 EAT Hapa Maisha Magic Bongo!
Dereva Taxi

DEREVA TAXI
JUMAMOSI
18:05 EAT


Danny ni dereva wa Taxi. Siku moja, masaa ya jioni, anapata mrembo akitekwa nyara na wahuni barabarani! Anawokoa mrembo huyu ambaye anapatajeraha na kuzirai. Danny anampeleka kwake na baada ya kupona, maisha yao yanapata chemchem la penzi! Ungana nasi Jumamosi saa 18:05 EAT Hapa Maisha Magic Bongo!