Logo

Jeraha la Moyo! MMBongo!

News
24 February 2016
Kisa kinachohusu wanandoa wawili waliopendana sana, waliishi pamoja katika mapenzi yaliyowashangaza wengi.
Jeraha la moyo.res

JERAHA LA MOYO

Kisa kinachohusu wanandoa wawili waliopendana sana, waliishi pamoja katika mapenzi yaliyowashangaza wengi takribani miaka zaidi ya minane bila kupata watoto, haikuteteresha ndoa yao, walikuwa kama ambari na zinduna. Ghafla kisa cha huzuni kinaikumba ndoa hii na kuingia katika mtihani mkubwa, shetani anatia mikono yake wakati mbao wanandoa hawa wanjiandaa kupata mtoto, maskini furaha iangeuka kuwa balaa lisilowahi kutokea katika maisha yao yote, ndoa inakuwa ndoano, kila mmoja hakamatiki.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.