Logo

YE JO MAHABBAT HAI!

News
22 February 2016
Familia mbili, boma mbili. Wamekuwa wakizozana miaka nenda, maika rudi. YE JO MAHABBAT HAI leo saa 19:00 EAT katika chaneli ya DSTV 160, hapa MMBongo!
Ye Jo Mohabbat Hai3 RES

YE JO MAHABBAT HAI
JUMATATU
SAA 19:00 EAT


34 ye jo mohabbat hai3 res


Familia mbili, boma mbili. Wamekuwa wakizozana miaka nenda, maika rudi. Lakini, watoto hawajui mipaka, na wanapendana. Kutaendaje? Tazama filamu yetu ya Swahindi, YE JO MAHABBAT HAI leo saa 19:00 EAT katka chaneli ya DSTV 160, hapa MMBongo!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.