Logo

MMBongo Swahindi Movie: HAR DIL PYAR KAREGA!

News
12 February 2016
Tazama zaidi leo saa 18:35 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
HarPyaKarega12Feb2RES

HAR DIL PYAR KAREGA
IJUMAA
12 FEBRUARI 2016
18:35 EAT


34 harpyakarega12feb2res

Raj ni mwimbaji anayetafuta riziki katika Jiji la Mumbai. Siku moja, anamowokoa binti mrembo aliyekuwa ameungaka katika chuma za Reli. Binti mrembo anayeitwa Pooja anakimbizwa hosipitali na wazazi wake wanaamini Raj kuwa mumewe Pooja aliyemtorosha na kumwoa!


Tazama zaidi leo saa 18:35 EAT hapa Maisha Magic Bongo!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.