Logo

AGAINST CRIME: Leo katika MMBongo!

News
09 February 2016
Tazama zaidi leo usiku saa 18:35 EAT!
AgainstCrime9Feb

AGAINST CRIME
JUMANNE
9 FEBRUARI 2016
18:35 EAT


Fur anakumbatwa na fitina za kifamilia anaporithi dhambi za wazazi wake! Mamake mzazi aliuwawa na Moko. Isitoshe, mchumba wake ametekwa nyara na huyu Moko. Hasira zimempanda na matumaini yake ni kumwangamiza huyo Moko! Tazama zaidi leo usiku saa 18:35 EAT!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.