Main
Zuwena hataki majaribu!– Yalaiti
Video
22 Julai
Mume wake Zuwena amleta msichana wa kazi nyumbani na Zuwena amkataa. Remmy ampigia simu mama yake baada ya kugundua kwamba Remmy amemuoa Manka badala ya Stella. Tika amwambia Tanasha chanzo kwake kufukuzwa kazi.
Jisajili kuangalia
Up Next
Remmy afumwa!– Yalaiti
12 Agosti
Mama Tanasha achoma moto gari ya mwanae– Yalaiti
28 Oktoba
Stella ana kesi kubwa! – Yalaiti
02 Septemba
Remmy bado anamtaka Manka– Yalaiti
16 Decemba