Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Wake wenza– Jua Kali
Video
09 Julai
Tuma arid kwa bibi yake, Madam Simba aweka masharti nyumbani kwa wafanyakazi. Sophia aandelea kuvumilia uke wenza. Diba amsubiri Anna iliapate majibu na Luka aweka mipaka nyumbani.
Stream on Showmax
Up Next
Mipango ya haribika– Mwali
09 Julai
Fei afika mjini –Huba
07 Julai
Neon la siri ni lipi? – Mpali
06 Julai
Muda wa malipo – Pazia S6
06 Julai
Msiba wa Bibi – Jua Kali
02 Julai
Kicheka hana pa kwenda – Mwali
02 Julai
Maudhui Yanayohusiana
Video
Wiki hii- Jua Kali
Matukio ya wiki hii ndani ya Jua Kali.
Video
Tony afika kuvuruga- Jua Kali
Frank aja kumtembelea Maria bila kujua kama Tony yupo chumbani nae na familia ya Diba ya kataa amuoe Anna.
Video
Femi apata mgeni hospitali– Jua Kali
Femi apata mgeni toka Kenya wakati yupo hospitali. Anna aishia kumuonya mama yake
Video
“Kuwa na heshima na jasho la mtu!” – Jiya
Mama amuonya mtoto wake, baada ya kudai pesa zake. Senteu amkaribisha Jiya nyumbani.