channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tima Achizika – Huba

Video30 Oktoba

Ritha amefanya kitu cha kutisha! Baada ya kumchoma Tima sindano ya uchizi, mambo yanabadilika ghafla Tima anaonekana kupoteza fahamu na akili zikichanganyikiwa kabisa Je, Ritha anajua alichokianzisha au huu ndio mwanzo wa maafa mapya?