Katika J#HarusiYetuTZ , Kama imepangwa imepangwa tu! Bwana harusi Juma ni mpole na sio mtu wa vurugu,mwenye kuzingatia ndini, je naye Bi Harusi , Ismaili ni mtu wa aina gani, na ndege hawa wawili walipatana vipi? Fuatlila hadithi yao na usikose #HARUSIYETU kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv 160