maisha magic bongo logo

Nkosana Amfuma Babu Akinywa Pombe – The Wife

Video15 Decemba

Nkosana anamkuta baba yake Zandile akinywa pombe kwa siri — wakati huyohuyo mzee amekuwa akijifanya mgonjwa na kutumia wheelchair. Lakini leo? Nkosana anamfuma akiwa amesimama imara kabisa… na anavuta sip yake kwa raha! Kabla hajamaliza kumuuliza maswali, Zandile anatokea na kuanza kumtetea baba yake kwa nguvu zote . Nkosana anakosa hata cha kusema — ukweli unazidi kuonekana, lakini Zandile hawezi kuvumilia mtu kumgusa babu yake.