channel logo dark
JNM small new
channel logo dark

Jikoni Na Marion

160Cooking ShowsPG13

Ndoa ya Allan na Joan- Harusi Yetu

Video08 Agosti

Kwenye #HarusiYetuTZ, maharusi wetu ni Joan na Allan. Hapa wanasimulia hadithi yao vile walipatana na hatimaye kufunga ndoa. Je ni mbinu gani Allan alizitumia ili kuuteka moyo wa Joan? Usikose #HARUSIYETU kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv 160