Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Kibibi amtafuta baba yake – Huba
Video
23 Septemba
Kibibi awaacha Monica na Angel wakati akifuatilia mambo yake ya kutafuta baba yake na Habiba akibaki nyumbani. Bi Sikitu ataka kumuondoa Devi kwa Roy na Doris. Sada amwambia ukweli Happy wakati Happy aishia kugombana na Nicole.
Stream on Showmax
Up Next
Jua la waka Nairobi! – Jua Kali
18 Septemba
Kibibi ahojiwa na mapolisi – Huba
09 Septemba
Sakina atoroka – Pazia
07 Septemba
Jua la muwakia Prof Bill – Jua Kali
04 Septemba
Stella ana kesi kubwa! – Yalaiti
02 Septemba
Nelly bado anamtaka Devi– Huba
26 Agosti
Maudhui Yanayohusiana
Video
Malik amuonya Queen– Dosari
Queen aendelea na ukatili wake baada ya kumuonya wakati Malik adai mali ya baba yake.
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
Nicole aanza mahusiano mapya ya kibiashara- Huba
Happy amzawadia mtoto wa Tima nguo na hilo jambo lamkasirisha sana Tima. Nicole aanza mahusiano mapya ya kikazi wakati Kibibi akiwa anamuangalia.
Video
Chunga mkataba! - Huba
Wanaume wote waishia jela baada ya shughuli na Jude na Roy wapigana, wakati Jude amuonya Kibibi juu ya mkataba wao.