channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Kenzo amsumbua Vivian ofisini – Jua Kali

Video22 Januari

Sophie achambwa mtaani baada ya kufumwa na mume wa mtu. Kenzo aja ofisini kumsumbua Vivian. Bill ajakumwona Shangazi Zai na mwanae lakini, Mara amkataa Bill wakati anamwona Felix kwa siri. Pia, mama yake Suzanne ajaribu kumuua mtoto. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ