channel logo dark
channel logo dark

Mpali

160Drama16

Frank Ahisi Mtoto Si Wake – Mpali

Video19 Septemba

Mwanida anajikuta kwenye hali ngumu baada ya Frank kuanza kuhisi mtoto si wake . Wasiwasi huu unaweza kutikisa ndoa na familia yao nzima. Wakati huo huo, Lindiwe anaingia kwenye malumbano makali na binti yake Bupe kuhusu pombe . Lakini majibu ya Bupe yanatikisa zaidi — anasema chanzo cha ulevi ni mama yake mwenyewe! Familia ya Nguzu inazidi kuyumba huku kila siri ikileta maumivu mapya. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ