Karen akataa kwenda likizo ili afanye upelelezi agundue nani alimua babake, je atapata nani kamuua?  Ama karen kamsaidia babake kumteka  Mzee Kabona? Upande ule mwingine Mike nane avarugwa  na Lulu kajipata chini ya Kitanda,bona Lulu amfanyia ukattili?  #REBECA kila Jumatatu- Jumatano saa 1:30 Usiku! #DStv160!