Mwaka huu tunaingia mwaka wa pili wa tuzo za filamu kupitia bodi ya filamu nchii Tanzania (Tanzanian Film Festival Awards). Lengo kuu la bodi ya filamu ya Tanzania ni kuleta maendeleo ndani ya tasnia ya filamu kwenye taifa. Tuzo la mwaka huu litafanyika Jumamosi hii, tarehe 17 Desemba na Maisha Magic Bongo ilifanikiwa kuingia ndani ya vipengele tofauti kwa waigizaji wetu na pia vipindi:
Mchekeshaji Bora
|
Gladness Kifaluka – Pili (Kitimtim)
|
Muigizaji Bora wa Kike - Chaguo la watazamaji
|
Getrude Mwita - Kibibi (Huba) Flora Mvungi - Mwanahawa (Mwali) Wanswekula Zacharia - Tuma (Jua Kali) Nasmah Hassan - Regina (Pazia) Jackline Wolper - Miriam (Pazia) Ndubangwe Misayo - Zuwena (Yalaiti)
|
Muigizaji Bora wa kiume - Chaguo la watazamaji
|
Othman Njaidi - Jemo (Pazia) Jacob Stephen - JB (Huba) Ahmed Shifta - Jefa (Mwali) Abbot Mbandwa - Frank (Jua Kali)
|
Muigizaji Bora Mpambe wa Kike
|
Coletha Raymond - Mary (Jua Kali) Sia Tarimo - Eva (Jua Kali)
|
Muigizaji Bora Mpambe wa Kiume
|
Stanley Msungu – Mr Thomas (Jua Kali) Jackson Kabirigi – Semindu (Mwali) Fredy Kiluswa – Marcus (Sinia)
|
Muigizaji Bora Chipukizi wa Kiume |
Raidanus Vitalis - Kitundu (Jua Kali)
|
Muigzaji Bora wa Kike |
Irene Paul – Tanasha (Yalaiti) |
Tamthilia Bora |
Aziz Mohamed – Huba Leah Mwendamseke (Lamata) – Jua Kali Mutran Tamim – Mwali
|
Kichekesho Bora (tamthilia) |
Gladness Kifaluka – (Kitimtim)
|
Kichekesho Bora |
Gladness Kifaluka – (Kitimtim)
|
Washabiki wetu wanaweza kutupia kura ndani ya vipengele tofauti, bonyeza 👉 HAPA. Maisha Magic Bongo inawatakia kuwapongeza wote walioteuliwa!