Baada ya Devi kuamcha Tima, alienda kwa Kibibi na walianza mahusiano. Matatizo yalifika baada ya Devi kugungua kwamba bado anahisia kwa Tima. Alijaribu kwenda kwa Tima kumuomba msamaha na kumwambia kwamba anampenda. Wakati alivyokuwa njiani alipata ajali mbaya ambayo ilimfanya miguu yake ipooze.
Baada ya hapo, Kibibi alikasirika san ana ndoa yao iliaribika baada ya Kibibi kuanza kumtesa Devi. Wakati Devi alivyorudi toka hospitalini, walimpa daktarin maalum, Dk Nelly, ambaye kazi yake ilikuwa kumsahidia Devi aweze kutembea. Lakini baada ya muda mwingi kuwa pamoja, Devi alanza kumpenda Nelly, lakini kwasababu Devi bado yupo na Kibibi, hawawezi kuwa pamoja. Kwa sasa hivi Kibibi anaumwa na pia yupo hospitalini na mtoto wake mgonjwa Angel na Devi na Nelly wa mud awa kuwa pamoja. Lakini imefika muda ambao ni lazima Devi achague, je mchague nae:
Kibibi Nelly
Wamejuana kwa muda mrefu Ndio wameanza kujuana
Tayari ana mtoto na hataki mwinyine Bado hana mtoto na anataka
Devi hajui kazi yake Devi anajua kazi yake
Devi anajua historia yake Devi hajui historia yake
