Wiki hii kwenye #HUBATZ, hakika mambo yalipamba moto, kuanzia kwa kibibi Tesa  mipango yake bado inaendelea, Sidi na Kashulo washahamia kwenye hekalu lao, Kibibi karudi  na kisirani cha aina yake, Bi Mgeni kila kukicha ugomvi na Carlos na safari hii Tima nae yumo, Chidi  anajinyemeleza kwa na Roy na Nandi amani hakuna, ni nini kitaendela wiki ijayo? …..