channel logo dark
channel logo dark

Shaka Ilembe

160Action18

Shaka anamjeruhi mwenzie – Shaka Ilembe I S1 I Ep 7–8 I Maisha Magic Bongo

Video10 Februari

Hali ya hasira na presha inazidi kuongezeka! Shaka anajikuta akimjeruhi mwenzie, tukio linalochochea mvutano mkubwa na kubadilisha mwelekeo wa matukio Elengani. Hatua hii inaibua maswali makubwa kuhusu uongozi, nguvu na hatima ya wahusika. Je, tatizo hili litashughulikiwa ama litazidisha mvutano kati ya wahusika? Tazama HL ya Shaka Ilembe S1 Ep 7–8 kushuhudia drama ya kweli ya historia na migogoro isiyotarajiwa.