Gloria amwambia Jemo kwamba Regina na Edu wameshafunga ndoa. Hili jambo lamfanya Jemo aenda kumpiga Edu. Eliza amwambia Regina kwamba baba yake anataka aende chuo lakini Regina amwambia kwamba yeye ni mjamzito. Wakati Gloria aenda kuwatembelea Regina na Edu na aanza kumtongoza Edu nyuma ya Regina.