maisha magic bongo logo

Mapigo ya mahaba — Mizani Ya Ushambenga

Video16 Aprili

Kuna baadhi ya wanaume ambao wanapigwa na wake zao. Wanaume wamegawana kwa jambo hili. Kuna wale wanasema mwanaume sio suruali tu badala yake watumie hekima na busara kutatua shida za familia