channel logo dark
channel logo dark

Mizani Ya Ushambenga

160Uhalisia13

Tusifie wanaume wetu au la? — Mizani Ya Ushambenga

Video
02 Aprili

Kuna baadhi ya wanawake ambao wana tabia ya kuanika mambo yao yote ya nyumbani..hasa kuhusu mabwana wao kwa shoga zao. Je, jambo hili hujenga au inabomoa familia? Dr Kumbuka na Mariam wanazungumuzia jambo hili katika #MIZANIYAUSHAMBENGA leo saa 1 Usiku ndani ya DStv160 pekee!