Kapuni, ni tamthilia inayo onyesha maisha ya kila siku ya Mtanzania. Tamthilia hii inaangazia nyanja zote za maisha ya kila siku., mapenzi, pesa, wivu, usaliti na visasi, suluisho la haya yote ni mapenzi.
Tumechukua baadhi ya waigizaji ya tamthilia hii na tunakupa mamlaka ya kuwaunganisha. Je ni nani anaendana na nani?
- Ana elimu
- Mkorofi,mmbea na mchonganishi
- Mwenye tamaa na wivu
- Ni muhuni lakini anatamani kuolewa
- Mwenye mahusiano na watu wengi [Malaya wa kimya kimya]
- Ana tamani maisha mazuri
- Ana ugonjwa unamtafuna kimya kimya
- Mkali
- Mkimya
- Tajiri
- Hajali familia
- Msomi
- Mpuuzi
- Mtu mwenye mamlaka
- Mama bora wa familia
- Msomi
- Hana maamuzi
- Ana siri nzito inayomtafuna
- Mpole
- Mwenye mapenzi ya kweli
- Kijana wa mjini
- Anapenda watoto
- Msomi
- Mtu anayejali
- Ana mapenzi ya kweli
- Mcha mungu
- Mwenye Elimu wastani
- Mzinzi
- Ana tamaa
- Anaigiza Maisha
- Mmbea
- Mkorofi
- Ana elimu
- Mchapakazi
- Ana ndoto za kuwa mwanamuziki mkubwa
- Kuadi
- Mmbea
- Mpole
- Elimu wastani
- Ana mapenzi ya uongo
- Hana maamuzi yake mwenyewe
- Mnafiki
- Elimu wastani
- Hajui anachokihitaji kwenye maisha
- Ana mapenzi ya wasiwasi
- Hana maamuzi sahihi
Happy Valentine's Day!
