Mheshimiwa Festo pia ametoa wito kwa viongozi wa bodi ya Filamu na wizara yake kuchukua hatua kusaidia wadau wa tasnia ya filamu nchini. Amesisitiza umuhimu wa kuweka mazingira mazuri kwa wabunifu na wasanii, na pia ameomba serikali na wizara husika kuwekeza Zaidi katika watu kama Leah na waandaji wengili , wapate fursa mbali mbali mikopo na hata kuanzisha tasisi maalum za kuwaongezea ujuzi na urahisi wa kutumia ofisi mbali mbali za serekali katika kufanikisha Sanaa zao na. Hii itapanua wigo la ajira kwa vijana wengi nchini.
Angalia baadhi ya kazi za Lamata alizofanya ndani ya tamthilia ya #MMBJuaKali:
Akihusisha wasanii wakubwa ndani ya bara la Afrika:
Safari yake na matukio akiwa na kundi la Jua Kali Afrika Kusini:
Safari yake na matukio akiwa na kundi la Jua Kali Ghana:
Endelea kuburudika na kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!
