Mapigano kati ya Michael na Mary yamezidi na wiki iliyopita Mary alizidiwa kabisa. Katika mgogoro wao,Mary aliamua kuchua ndoo iliyo jaa maji na kumumwagia Michael wakati Michael alikuwa tayari kwenda kazini. Hili tendo lili mkashirisha Michael sana lakini, Mary bado ni mke wake, sasa afenye nini? Tumewauliza watazamaji wetu wa Maisha Magic Bongo na haya ndiyo majibu yao:
- “Huyo mwanamke ni mimi mtupu” - @ms.lisandra
- “Namsamehe, ni haki yake” - @mwahijana
- “Mwanamke kiboko huyu duh, asubuhi yote hii” - @beatricegodwin2
- “sijui yu yaani” - @abuu_wibmer1074
- “Ningemuacha coz ni haki yake kama mke ndoa ni kusikilizana” -@mariejojo843
- “Michael, unachomfanyia mkeo sio vizuri” -@delienoffcial
- “Ningembusuu atulie kwanza” - @mimi_rosiee
- “Alichopa ni size yake hata mimi sipendi ujinga” -@queenfaryda
- “Ningemshika adabu” -@dorygee2
- “Namsamehe Mary mana anaongea ukweli” -@mbumi_abdallah
Fuatilia tamthilia ya #JuaKaliTZ kia Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, chaneli 160. Pia kumbuka kwamba unaweza kuangalia vipindi vyote kupitia Showmax.
