channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Nani ni nani ndani ya #JuaKaliTZ

Habari
28 Januari 2021
Je umeshajua wahusika wa #JuaKali TZ?
Screenshot 2021 01 28 at 10

George

Ameoa lakini anamdanganya mke kwasababu ana uhusiano wa kimapenzi na Anna.

 

Sophia

Ni msichana masikini anaye fuata wanaume wa mitaani ili aweze kupata pesa ya kusahidia familia yake.

 

Profesa Bili

Mwalimu wa chuo na bingwa wa hesabu, anatumia watu mbalimbali kufanya uchafu.

 

Auntie Zai

Mama yake na Naira na ni mfanya kazi wa nyumbani kwa Professa Bill.

 

Naira

Mtoto wake na Auntie Zai, anampenda Felix na ana mahusiano naye ya siri.

 

Bibi Ana

Mama yake na Professa, anaishi na familia yake na pia ni mkweli

 

Kenzo

Mume wake na Vivian

 

Vivian

Mke wake naKenzo, hampendi tena Kenzo na ameanza mahuasiano ya kimapenzi na bosi wake.

 

Love

Anafanya kazi kwenye kampuni na Vivian lakini anamchukia sana Vivian.

 

Felix

Kijana anayependa kuchezea wasichana lakini anampenda Maria.

 

Maria

Mtoto wa kichristo aliye okoka sana, lakini anampenda Felix na anaficha ukweli kuhusu 

 

Suzana

Alikuwa na mahusiano na mzungu kwa sababu ya mama yake, alizaa mtoto mweusi na mama yake anataka mtoto huyu auwawe.

 

Anna

Dada mwanasheria aliye salitiwa na George baada ya kumwona George na mke wake na watoto.

 

Mary

Mke wake na Michael, ana shida sana ndani ya ndoa yake.



Michael

Mume wake na Mary, wana matatizo mengi ndani ya ndoa yao.

Usikose kuangalia #JuaKaliTZ kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku na marudio kila Jumamosi saa 7 mchana. Pia kumbuka unaweza kuangalia vipindi vyote vya Maisha Magic Bongo muda wowote ndani ya Showmax!