channel logo dark
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Mr Thomas aomba msamaha - Jua Kali

Habari
27 Agosti 2021
Hatimaye Mr Thomas arudi kumuomba msamaha mke wake, je Stella amsamehe?
Screenshot 2021 08 27 at 09

Baada ya kugundua kwamba Mr Thomas alikuwa na mchepuko, Maria pembeni, Stella aliumizwa moyo. Alijaribu kila njia ili mume wake arudi nyumbani. Kwanza alimwambia Felix kwamba Maria, alikuwa ana tembea na baba yake na piga aliishia kumpiga Maria mpaka Maria alivyoishia hospitali lakini bado Mr Thomas hakumwacha Maria.

Hatimaye Mr Thomas aona jinsi alivyomuumiza mke wake na ataka kubarisha mambo nyumbani kwake. Baada ya kuomba msamaha Stella hajui afanye nini, je kama ungekuwa Stella ungemsamehe? Piga kura yako hapo chini

Screenshot 2021 08 27 at 09
Stella amsamehe Thomas? - Jua Kali

Thomas aomba msamaha, je unafikiri Stella amsamehe? Piga kura yako hapo chini

Ndiyo37%
Hapana63%

Jiunge nasi kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!