Femi apata mgeni – Jua KaliLinda amwambia Duke kama Bobo bado anampenda Anna. Toby ampiga dada take baada ya Sophia kugomba kumuoa Iddy. Zai amwambia Bill amuheshimu kama mama yake na Bill aishia kumpiga na hatimaye Stela arudi. Na Femi opata mgeni.