Kapuni
Kwenye Kapuni kweli imepamba moto! Mambo yapo hivi Baharia Joyce kwa kushirikiana na Baharia jemedari koku wamefanikiwa kumfungia Brown ndani, Naye Jordan hali sii shwari katimuliwa na Joyce, Recho hana anachoelewa , Shangazi majonzi yanamlemea ,Robert wetu wa ushindi roho inamsuta kukosa msiba hadi Nickson anaenda kumshukuru.
Jemedari Koku anafika msibani lakini hajui kinacho mgonja, je wanafamilia wa Brown watafanikiwa kumficha Recho? Na Je Ungekuwa Brown ungemfanya nini Joyce?
Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki wa Kapuni
Anachokifanya Brown, kizazaa kipya kinaibuka kapuni halishi vituko, fanya kuangalia kila Jumamosi na Jumapili saa 2 usiku kupitia DStv160 pekee!

