Sada anataka kumfukuza Nandi toka nyumbani kwake yeye na Yakoub. Nicole adai kuona juhudi zake na Jude zikitimia. Hatimaye Sada akutana na Bi Sikitu sokoni na Bi Sikitu ataka kujua ni nani anaye mpa Sada nguvu za giza. Wakati Nicole akutana na mtu anayempa maneno matamu.
—
Endelea kutazama DStv chaneli 160
Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo
TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo
Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ