Wakati Rani na Ruki wanajipanga kukabiliana na Dave na Tima, Tima na Chidi wanatoroka mjini na kuenda mashambani. Rani na Ruki wanasema kuwa Davy ni mbinafsi kwa sababu ameamua anatumia muda wake wote na Tima badala yao.
Je, Idris na Davy ni mbinafsi? Haya ni baadhi ya maoni kutoka mashabiki wa Huba:
Usikose kufuatilia tamthilia ya Huba kila Jumatatu hadi ijumaa saa 3 usiku ndani ya DSTv chaneli 160.
