channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Harusi ya Doris na Roy – HUBA

Video22 Mei

Onyo la Bi Sikitu kwa mwanawe Doris asiolewe na Roy linatupiliwa mbali. Batuli anakutana na Bi Sikitu katika ukumbi wa harusi, na kumweleza Doris. Itakuwaje?