Nelly aombeleza kilo cha Ruby na Kibibi akamatwa na polisi. Jude asidi kumtesa Tima na JB afukuza Devi na Roy ndani ya msiba wa Ruby.