YOUNG MY WIFE
JUMATANO
SAA MOJA USIKU

Nia ni binti mchanga wa kubalehe ambaye ameolewa na mwanamme mzee, rika ya babake! Nia anakata kabisa kumpa mapenzi mumewe na kisha, akapata mchumba mwingine aliye na umri sawa naye. Nia ataponea mashaka yatakayo kumba ndoa yake na maisha yake? Filamu ni Young My Wife, Jumatano, saa moja usiku, hapa Maisha Magic Bongo!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.